Thursday, May 24, 2012

SOMO JUU YA IMANI

IMANI INAPOMTAWALA MWANADAM, MAMBO YOTE YA KIDUNIA HUKOSA THAMANI'.....
 "Binti mmoja wa kiimerati kakubali kuolewa kwa mahari ya dirham moja (1) pekee, sawa na shillingi ishirin na mbili (22) za kenya, ama takriban mia nne (400)Tz. Jambo limewashangaza wazaz wa bwana harusi kwa uamuz wake binti kiasi alichoitisha, mfano mzuri wa kuiga kwa dada zetu kwa wale wenye iman ya kisawa" Mola awazidishie upendo na amani katika ndoa yao Na ABDULWAHAD at Turkey

No comments:

Post a Comment